×

Basi ilipo wajia Haki kutoka kwetu walisema: Hakika huu ni uchawi dhaahiri 10:76 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yunus ⮕ (10:76) ayat 76 in Swahili

10:76 Surah Yunus ayat 76 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 76 - يُونس - Page - Juz 11

﴿فَلَمَّا جَآءَهُمُ ٱلۡحَقُّ مِنۡ عِندِنَا قَالُوٓاْ إِنَّ هَٰذَا لَسِحۡرٞ مُّبِينٞ ﴾
[يُونس: 76]

Basi ilipo wajia Haki kutoka kwetu walisema: Hakika huu ni uchawi dhaahiri

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فلما جاءهم الحق من عندنا قالوا إن هذا لسحر مبين, باللغة السواحيلية

﴿فلما جاءهم الحق من عندنا قالوا إن هذا لسحر مبين﴾ [يُونس: 76]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Huo ukweli, ambao Alikuja nao Mūsā, ulipomfikia Fir'awn na watu wake, walisema, «Hakika miujiza aliyokuja nayo Mūsā ni uchawi mtupu ulio waziwazi.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek