×

Basi, simama sawa sawa kama ulivyo amrishwa, wewe na wale wanao elekea 11:112 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:112) ayat 112 in Swahili

11:112 Surah Hud ayat 112 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 112 - هُود - Page - Juz 12

﴿فَٱسۡتَقِمۡ كَمَآ أُمِرۡتَ وَمَن تَابَ مَعَكَ وَلَا تَطۡغَوۡاْۚ إِنَّهُۥ بِمَا تَعۡمَلُونَ بَصِيرٞ ﴾
[هُود: 112]

Basi, simama sawa sawa kama ulivyo amrishwa, wewe na wale wanao elekea kwa Mwenyezi Mungu pamoja nawe; wala msikiuke mipaka. Hakika Yeye anayaona yote myatendayo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فاستقم كما أمرت ومن تاب معك ولا تطغوا إنه بما تعملون بصير, باللغة السواحيلية

﴿فاستقم كما أمرت ومن تاب معك ولا تطغوا إنه بما تعملون بصير﴾ [هُود: 112]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Basi kumana msimamo, ewe Nabii, kama Alivyokuamurisha Mola wako, wewe na waliotubia pamoja nawe, wala msikipite kile Alichowaekea mpaka Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wenu, kwa matendo yote mnayoyafanya, ni Muoni, hakuna kitu kinachofichika Kwake, na Atawalipa nyinyi kwa hayo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek