×

Na hakika Mola wako Mlezi atawatimilizia malipo ya vitendo vyao. Hakika Yeye 11:111 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:111) ayat 111 in Swahili

11:111 Surah Hud ayat 111 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 111 - هُود - Page - Juz 12

﴿وَإِنَّ كُلّٗا لَّمَّا لَيُوَفِّيَنَّهُمۡ رَبُّكَ أَعۡمَٰلَهُمۡۚ إِنَّهُۥ بِمَا يَعۡمَلُونَ خَبِيرٞ ﴾
[هُود: 111]

Na hakika Mola wako Mlezi atawatimilizia malipo ya vitendo vyao. Hakika Yeye anayo khabari ya wayatendayo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإن كلا لما ليوفينهم ربك أعمالهم إنه بما يعملون خبير, باللغة السواحيلية

﴿وإن كلا لما ليوفينهم ربك أعمالهم إنه بما يعملون خبير﴾ [هُود: 111]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na hakika watu wote hao wanaotafautiana tuliokutajia habari zao , ewe Mtume, Mwenyezi Mungu Atawatekelezea malipo ya matendo yao Siku ya Kiyama, yakiwa mema watalipwa wema na yakiwa maovu watalipwa uovu. Hakika Mola wako , kwa wanayoyafanya hawa washirikina, ni Mtambuzi, hakuna kitendo chao chochote kinachofichamana Kwake. Katika hii pana kitisho na onyo kwao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek