Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 113 - هُود - Page - Juz 12
﴿وَلَا تَرۡكَنُوٓاْ إِلَى ٱلَّذِينَ ظَلَمُواْ فَتَمَسَّكُمُ ٱلنَّارُ وَمَا لَكُم مِّن دُونِ ٱللَّهِ مِنۡ أَوۡلِيَآءَ ثُمَّ لَا تُنصَرُونَ ﴾
[هُود: 113]
﴿ولا تركنوا إلى الذين ظلموا فتمسكم النار وما لكم من دون الله﴾ [هُود: 113]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wala msilemee upande wa hawa makafiri walio madhalimu, msije mkapatwa na Moto. Na hamna nyinyi msaidizi mwenye kuwanusuru na kusimamia mambo yenu isipokuwa Mwenyezi Mungu |