Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 121 - هُود - Page - Juz 12
﴿وَقُل لِّلَّذِينَ لَا يُؤۡمِنُونَ ٱعۡمَلُواْ عَلَىٰ مَكَانَتِكُمۡ إِنَّا عَٰمِلُونَ ﴾
[هُود: 121]
﴿وقل للذين لا يؤمنون اعملوا على مكانتكم إنا عاملون﴾ [هُود: 121]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Waambie, ewe Mtume, makafiri wasiokubali upweke wa Mwenyezi Mungu, «Fanyeni mnayoyafanya kwa namna yenu na mbinu zenu za kuupinga Ulinganizi na kumkera Mtume na wale waliomuitika, kwani sisi ni wenye kufanya kwa namna yetu mbinu zetu za kusimama imara juu ya Dini yetu na kutekeleza amri ya Mwenyezi Mungu |