×

Hizi ni katika khabari za ghaibu tunazo kufunulia. Hukuwa ukizijua wewe, wala 11:49 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:49) ayat 49 in Swahili

11:49 Surah Hud ayat 49 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 49 - هُود - Page - Juz 12

﴿تِلۡكَ مِنۡ أَنۢبَآءِ ٱلۡغَيۡبِ نُوحِيهَآ إِلَيۡكَۖ مَا كُنتَ تَعۡلَمُهَآ أَنتَ وَلَا قَوۡمُكَ مِن قَبۡلِ هَٰذَاۖ فَٱصۡبِرۡۖ إِنَّ ٱلۡعَٰقِبَةَ لِلۡمُتَّقِينَ ﴾
[هُود: 49]

Hizi ni katika khabari za ghaibu tunazo kufunulia. Hukuwa ukizijua wewe, wala watu wako, kabla ya hii. Basi subiri! Hakika Mwisho ni wa wachamngu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: تلك من أنباء الغيب نوحيها إليك ما كنت تعلمها أنت ولا قومك, باللغة السواحيلية

﴿تلك من أنباء الغيب نوحيها إليك ما كنت تعلمها أنت ولا قومك﴾ [هُود: 49]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Habari hiyo tuliyokuhadithia kuhusu Nūḥ na watu wake ni miongoni mwa habari za ghaibu zilizopita, ambazo tunakuletea wahyi juu yake, hukuwa ukizijua, wewe wala watu wako, kabla ya maelezo haya. Basi subiri juu ya ukanushaji wa watu wako na makero yao wanayokufanyia kama walivyosubiri Manabii huko nyuma. Na mwisho mwema wa duniani na Akhera ni wa waogopao wanaomcha Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek