×

Na kwa kina A'adi tulimtuma ndugu yao Hud. Akasema: Enyi watu wangu! 11:50 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:50) ayat 50 in Swahili

11:50 Surah Hud ayat 50 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 50 - هُود - Page - Juz 12

﴿وَإِلَىٰ عَادٍ أَخَاهُمۡ هُودٗاۚ قَالَ يَٰقَوۡمِ ٱعۡبُدُواْ ٱللَّهَ مَا لَكُم مِّنۡ إِلَٰهٍ غَيۡرُهُۥٓۖ إِنۡ أَنتُمۡ إِلَّا مُفۡتَرُونَ ﴾
[هُود: 50]

Na kwa kina A'adi tulimtuma ndugu yao Hud. Akasema: Enyi watu wangu! Muabuduni Mwenyezi Mungu! Nyinyi hamna mungu isipo kuwa Yeye. Nyinyi si chochote ila ni wazushi tu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإلى عاد أخاهم هودا قال ياقوم اعبدوا الله ما لكم من إله, باللغة السواحيلية

﴿وإلى عاد أخاهم هودا قال ياقوم اعبدوا الله ما لكم من إله﴾ [هُود: 50]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na tuliwamtumia watu wa kabila la 'Ād ndugu yao Hūd. Alisema kuwaambia, «Enyi watu wangu, muabuduni Mwenyezi Mungu, Peke Yake. Nyinyi hamuna mungu anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Yeye. Basi mtakasieni Yeye ibada. Kwani nyinyi hamkuwa, katika kumshirikisha kwenu Mwenyezi Mungu, isipokuwa ni warongo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek