×

Mkamwacha Yeye. Basi nyote nyinyi nipangieni vitimbi, na kisha msinipe muhula 11:55 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:55) ayat 55 in Swahili

11:55 Surah Hud ayat 55 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 55 - هُود - Page - Juz 12

﴿مِن دُونِهِۦۖ فَكِيدُونِي جَمِيعٗا ثُمَّ لَا تُنظِرُونِ ﴾
[هُود: 55]

Mkamwacha Yeye. Basi nyote nyinyi nipangieni vitimbi, na kisha msinipe muhula

❮ Previous Next ❯

ترجمة: من دونه فكيدوني جميعا ثم لا تنظرون, باللغة السواحيلية

﴿من دونه فكيدوني جميعا ثم لا تنظرون﴾ [هُود: 55]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
badala ya Mwenyezi Mungu, miongoni mwa wale wafananishwao na Yeye na masanamu. Basi angalieni na mfanye bidii, nyinyi na hao mnaodai kati ya waungu wenu, kunipatia madhara, kisha msilicheleweshe hilo hata kitambo kidogo kiasi cha kupepesa jicho. Hivyo ni kwamba Hūd ana imani thabiti kwamba hayatampata yeye kutoka kwao wala kutoka kwa waungu wao madhara yoyote
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek