Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 9 - هُود - Page - Juz 12
﴿وَلَئِنۡ أَذَقۡنَا ٱلۡإِنسَٰنَ مِنَّا رَحۡمَةٗ ثُمَّ نَزَعۡنَٰهَا مِنۡهُ إِنَّهُۥ لَيَـُٔوسٞ كَفُورٞ ﴾
[هُود: 9]
﴿ولئن أذقنا الإنسان منا رحمة ثم نـزعناها منه إنه ليئوس كفور﴾ [هُود: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na lau tutampa mwanadamu neema ya afya na amani na zisokuwa hizo kisha tukamuondolea, hakika yeye atakuwa ni mwenye kukata tamaa sana na rehema ya Mwenyezi Mungu, ni mkanushaji sana wa neema ambazo Mwenyezi Mungu Amemneemesha nazo |