×

Kama kwamba hawakuwamo humo. Zingatia walivyo angamia watu wa Madyana, kama walivyo 11:95 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:95) ayat 95 in Swahili

11:95 Surah Hud ayat 95 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 95 - هُود - Page - Juz 12

﴿كَأَن لَّمۡ يَغۡنَوۡاْ فِيهَآۗ أَلَا بُعۡدٗا لِّمَدۡيَنَ كَمَا بَعِدَتۡ ثَمُودُ ﴾
[هُود: 95]

Kama kwamba hawakuwamo humo. Zingatia walivyo angamia watu wa Madyana, kama walivyo angamia watu wa Thamud

❮ Previous Next ❯

ترجمة: كأن لم يغنوا فيها ألا بعدا لمدين كما بعدت ثمود, باللغة السواحيلية

﴿كأن لم يغنوا فيها ألا بعدا لمدين كما بعدت ثمود﴾ [هُود: 95]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kama kwamba wao hawakukaa kwenye nyumba zao wakati wowote. Jueni kwamba watu wa Madyan waliepushwa na rehema ya Mwenyezi Mungu, kwa kuwa Mwenyezi Mungu aliwaangamiza watu wake na akawalaani, kama vile kina Thamūd walivyoepushwa na rehema Yake. Makabila mawili haya yalishirikiana katika kuwa mbali na rehema ya Mwenyezi Mungu na kuangamia
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek