Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 96 - هُود - Page - Juz 12
﴿وَلَقَدۡ أَرۡسَلۡنَا مُوسَىٰ بِـَٔايَٰتِنَا وَسُلۡطَٰنٖ مُّبِينٍ ﴾
[هُود: 96]
﴿ولقد أرسلنا موسى بآياتنا وسلطان مبين﴾ [هُود: 96]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika tulimtuma Mūsā na dalili zetu za upweke wetu na hoja inayomfahamisha mwenye kuiona na kuitia akilini, kwa moyo wenye siha, kwamba zinatoa dalili ya upweke wa Mwenyezi Mungu na urongo wa kila anayedai uola asiyekuwa Yeye, Aliyetakata na sifa za upungufu na kutukuka |