Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 97 - هُود - Page - Juz 12
﴿إِلَىٰ فِرۡعَوۡنَ وَمَلَإِيْهِۦ فَٱتَّبَعُوٓاْ أَمۡرَ فِرۡعَوۡنَۖ وَمَآ أَمۡرُ فِرۡعَوۡنَ بِرَشِيدٖ ﴾
[هُود: 97]
﴿إلى فرعون وملئه فاتبعوا أمر فرعون وما أمر فرعون برشيد﴾ [هُود: 97]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tulimtuma Mūsā kwa Fir'awn na wakubwa wa wafuasi wake na watukufu wa watu wake, Fir'awn akakanusha na akawaamuru watu wake wamfuate yeye, wakamtii yeye na wakaenda kinyume cha amri ya Mūsā. Na hakuna uongofu wowote wala muongozo mwema katika amri ya Fir'awn, ni ujinga mtupu, upotevu, ukanushaji na ujeuri |