×

Mpeleke kesho pamoja nasi, ale kwa furaha na acheze; na bila ya 12:12 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:12) ayat 12 in Swahili

12:12 Surah Yusuf ayat 12 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 12 - يُوسُف - Page - Juz 12

﴿أَرۡسِلۡهُ مَعَنَا غَدٗا يَرۡتَعۡ وَيَلۡعَبۡ وَإِنَّا لَهُۥ لَحَٰفِظُونَ ﴾
[يُوسُف: 12]

Mpeleke kesho pamoja nasi, ale kwa furaha na acheze; na bila ya shaka sisi tutamhifadhi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أرسله معنا غدا يرتع ويلعب وإنا له لحافظون, باللغة السواحيلية

﴿أرسله معنا غدا يرتع ويلعب وإنا له لحافظون﴾ [يُوسُف: 12]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Tuachie awe na sisi kesho tutakapotoka kwenda kwenye malisho ya wanyama wetu, apate kutembea, apumbae, afurahike na acheze kwa kushindana na mfano wake miongoni mwa machezo yanayofaa. Na sisi ni wenye kumtunza na kila unalomuogopea.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek