×

Wakasema: Ewe baba yetu! Una nini hata hutuamini kwa Yusuf? Na hakika 12:11 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:11) ayat 11 in Swahili

12:11 Surah Yusuf ayat 11 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 11 - يُوسُف - Page - Juz 12

﴿قَالُواْ يَٰٓأَبَانَا مَا لَكَ لَا تَأۡمَ۬نَّا عَلَىٰ يُوسُفَ وَإِنَّا لَهُۥ لَنَٰصِحُونَ ﴾
[يُوسُف: 11]

Wakasema: Ewe baba yetu! Una nini hata hutuamini kwa Yusuf? Na hakika sisi ni wenye kumtakia kheri

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قالوا ياأبانا ما لك لا تأمنا على يوسف وإنا له لناصحون, باللغة السواحيلية

﴿قالوا ياأبانا ما لك لا تأمنا على يوسف وإنا له لناصحون﴾ [يُوسُف: 11]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
wakasema ndugu zake Yūsuf, baada ya kuafikiana kumuepusha, «Ewe baba yetu, unani wewe hutufanyi sisi ni waaminifu juu ya Yūsufu pamoja na kuwa yeye ni ndugu yetu, na sisi tunamtakia wema na kumhurumia, tutamtunza na tutampa ushauri mzuri wa kidhati
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek