×

Basi yule bwana alipoona kanzu yake imechanwa kwa nyuma, alisema: Hakika haya 12:28 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:28) ayat 28 in Swahili

12:28 Surah Yusuf ayat 28 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 28 - يُوسُف - Page - Juz 12

﴿فَلَمَّا رَءَا قَمِيصَهُۥ قُدَّ مِن دُبُرٖ قَالَ إِنَّهُۥ مِن كَيۡدِكُنَّۖ إِنَّ كَيۡدَكُنَّ عَظِيمٞ ﴾
[يُوسُف: 28]

Basi yule bwana alipoona kanzu yake imechanwa kwa nyuma, alisema: Hakika haya ni katika vitimbi vyenu wanawake. Bila ya shaka vitimbi vyenu ni vikuu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فلما رأى قميصه قد من دبر قال إنه من كيدكن إن كيدكن, باللغة السواحيلية

﴿فلما رأى قميصه قد من دبر قال إنه من كيدكن إن كيدكن﴾ [يُوسُف: 28]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Yule mume alipoiona nguo ya Yūsuf imeraruliwa kwa nyuma alijua kwamba Yūsuf hana hatia na akasema kumwambia mke wake, «Urongo huu uliomtuhumu nao kijana huyu ni katika jumla ya vitimbi vyenu, enyi wanawake, kwani vitimbi vyenu ni vikubwa.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek