Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 29 - يُوسُف - Page - Juz 12
﴿يُوسُفُ أَعۡرِضۡ عَنۡ هَٰذَاۚ وَٱسۡتَغۡفِرِي لِذَنۢبِكِۖ إِنَّكِ كُنتِ مِنَ ٱلۡخَاطِـِٔينَ ﴾
[يُوسُف: 29]
﴿يوسف أعرض عن هذا واستغفري لذنبك إنك كنت من الخاطئين﴾ [يُوسُف: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Akasema kiongozi wa Misri, «Ewe Yūsuf! acha kutaja mambo yaliykuwa kutoka kwake na usimwambie yoyote. Na uombe msamaha wa dhambi zako kwa Mola wako, ewe mwanamke, iwapo wewe ni miongoni mwa wale waliofanya hatia kwa kumtaka Yūsuf kimapenzi bila ya yeye kutaka na kwa kumzulia urongo.» |