×

Wakaja ndugu zake Yusuf, na wakaingia kwake. Yeye akawajua na wao hawakumjua 12:58 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:58) ayat 58 in Swahili

12:58 Surah Yusuf ayat 58 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 58 - يُوسُف - Page - Juz 13

﴿وَجَآءَ إِخۡوَةُ يُوسُفَ فَدَخَلُواْ عَلَيۡهِ فَعَرَفَهُمۡ وَهُمۡ لَهُۥ مُنكِرُونَ ﴾
[يُوسُف: 58]

Wakaja ndugu zake Yusuf, na wakaingia kwake. Yeye akawajua na wao hawakumjua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وجاء إخوة يوسف فدخلوا عليه فعرفهم وهم له منكرون, باللغة السواحيلية

﴿وجاء إخوة يوسف فدخلوا عليه فعرفهم وهم له منكرون﴾ [يُوسُف: 58]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Nduguze Yūsuf walifika Misri, baada ya kushukiwa na ukame katika nchi yao, ili wachukue chakula kutoka huko. Wakaingia kwake na yeye, kwa nguvu ya akili yake ya kutambua na werevu wake, akawajua na wao wasimjue kwa muda mrefu uliopita na kwa kubadilika umbo lake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek