Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 57 - يُوسُف - Page - Juz 13
﴿وَلَأَجۡرُ ٱلۡأٓخِرَةِ خَيۡرٞ لِّلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَكَانُواْ يَتَّقُونَ ﴾
[يُوسُف: 57]
﴿ولأجر الآخرة خير للذين آمنوا وكانوا يتقون﴾ [يُوسُف: 57]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika malipo mema ya Akhera ni makubwa zaidi kuliko malipo ya duniani kwa wenye Imani na uchamungu ambao wanayaogopa mateso ya Mwenyezi Mungu na wanamtii Yeye katika maamrisho Yake na makatazo Yake |