Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 7 - يُوسُف - Page - Juz 12
﴿۞ لَّقَدۡ كَانَ فِي يُوسُفَ وَإِخۡوَتِهِۦٓ ءَايَٰتٞ لِّلسَّآئِلِينَ ﴾
[يُوسُف: 7]
﴿لقد كان في يوسف وإخوته آيات للسائلين﴾ [يُوسُف: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika katika kisa cha Yūsuf na ndugu zake kuna mazingatio na dalili za uweza wa Mwenyezi Mungu na hekima Yake kwa anyeuliza habari zao na akataka kuzijua |