×

Pale walipo sema: Hakika Yusuf na nduguye wanapendwa zaidi na baba yetu 12:8 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:8) ayat 8 in Swahili

12:8 Surah Yusuf ayat 8 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 8 - يُوسُف - Page - Juz 12

﴿إِذۡ قَالُواْ لَيُوسُفُ وَأَخُوهُ أَحَبُّ إِلَىٰٓ أَبِينَا مِنَّا وَنَحۡنُ عُصۡبَةٌ إِنَّ أَبَانَا لَفِي ضَلَٰلٖ مُّبِينٍ ﴾
[يُوسُف: 8]

Pale walipo sema: Hakika Yusuf na nduguye wanapendwa zaidi na baba yetu kuliko sisi, hali sisi ni kikundi chenye nguvu. Hakika baba yetu yumo katika upotofu wa dhaahiri

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إذ قالوا ليوسف وأخوه أحب إلى أبينا منا ونحن عصبة إن أبانا, باللغة السواحيلية

﴿إذ قالوا ليوسف وأخوه أحب إلى أبينا منا ونحن عصبة إن أبانا﴾ [يُوسُف: 8]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Waliposema ndugu zake Yūsuf wa kwa baba kuambiana wao kwa wao, «Hakika Yūsuf na ndugu yake wa kwa baba na mama wanapendwa zaidi na baba yetu kuliko sisi. Anawafanya wao bora juu yetu, na sisi ni kundi lenye idadi kubwa. Hakika baba yetu yuko makosani waziwazi, kwa kuwa amewafanya wao ni bora juu yetu bila ya sababu tunayoiyona yenye kupelekea kufanya hivyo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek