Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 79 - يُوسُف - Page - Juz 13
﴿قَالَ مَعَاذَ ٱللَّهِ أَن نَّأۡخُذَ إِلَّا مَن وَجَدۡنَا مَتَٰعَنَا عِندَهُۥٓ إِنَّآ إِذٗا لَّظَٰلِمُونَ ﴾
[يُوسُف: 79]
﴿قال معاذ الله أن نأخذ إلا من وجدنا متاعنا عنده إنا إذا﴾ [يُوسُف: 79]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Yūsuf akasema, «Tunaomba hifadhi ya Mwenyezi Mungu na himaya Yake, tusiwe ni wenye kumchukua yoyote isipokuwa yule ambaye tulipata kipimio chetu kwake, kama mlivyoamua wenyewe. Kwani sisi tukifanya hayo ambayo mnataka tutakuwa ni miongoni mwa wanaohesabiwa kuwa ni waonevu.» |