Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 98 - يُوسُف - Page - Juz 13
﴿قَالَ سَوۡفَ أَسۡتَغۡفِرُ لَكُمۡ رَبِّيٓۖ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلۡغَفُورُ ٱلرَّحِيمُ ﴾
[يُوسُف: 98]
﴿قال سوف أستغفر لكم ربي إنه هو الغفور الرحيم﴾ [يُوسُف: 98]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ya’qūb akasema , «Nitamuomba Mola wangu Awasamehe dhambi zenu, kwani Yeye ni Mwingi wa kusamehe dhambi za waja Wake wanaotubia, ni Mwingi wa rehema kwao.» |