Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 97 - يُوسُف - Page - Juz 13
﴿قَالُواْ يَٰٓأَبَانَا ٱسۡتَغۡفِرۡ لَنَا ذُنُوبَنَآ إِنَّا كُنَّا خَٰطِـِٔينَ ﴾
[يُوسُف: 97]
﴿قالوا ياأبانا استغفر لنا ذنوبنا إنا كنا خاطئين﴾ [يُوسُف: 97]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wanawe wakasema, «Ewe baba yetu, tuombee Mola wako Atusamehe na Atusitirie dhambi zetu, hakika sisi tulikuwa wakosa katika yale tuliyomfanyia Yūsuf na ndugu yake.» |