×

Na walipo ingia kwa Yusuf aliwakumbatia wazazi wake na akasema: Ingieni Misri, 12:99 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:99) ayat 99 in Swahili

12:99 Surah Yusuf ayat 99 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 99 - يُوسُف - Page - Juz 13

﴿فَلَمَّا دَخَلُواْ عَلَىٰ يُوسُفَ ءَاوَىٰٓ إِلَيۡهِ أَبَوَيۡهِ وَقَالَ ٱدۡخُلُواْ مِصۡرَ إِن شَآءَ ٱللَّهُ ءَامِنِينَ ﴾
[يُوسُف: 99]

Na walipo ingia kwa Yusuf aliwakumbatia wazazi wake na akasema: Ingieni Misri, Inshallah, mmo katika amani

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فلما دخلوا على يوسف آوى إليه أبويه وقال ادخلوا مصر إن شاء, باللغة السواحيلية

﴿فلما دخلوا على يوسف آوى إليه أبويه وقال ادخلوا مصر إن شاء﴾ [يُوسُف: 99]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ya’qūb na watu wa nyumbani kwake wakatoka kuelekea Misri wakimkusudia Yūsuf. Walipofika kwake, Yūsuf aliwakumbatia wazazi wake wawili na akawaambia (wao wote), «Ingieni Misri kwa matakwa ya Mwenyezi Mungu na hali mkiwa mko kwenye amani na mumeepukana na shida, ukame na kila zito.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek