Quran with Swahili translation - Surah Ar-Ra‘d ayat 24 - الرَّعد - Page - Juz 13
﴿سَلَٰمٌ عَلَيۡكُم بِمَا صَبَرۡتُمۡۚ فَنِعۡمَ عُقۡبَى ٱلدَّارِ ﴾
[الرَّعد: 24]
﴿سلام عليكم بما صبرتم فنعم عقبى الدار﴾ [الرَّعد: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Malaika watawaambia, «Amani iwashukie, yakiwa ni maamkizi yenu peke yenu, na msalimike na kila baya kwa uvumilivu wenu katika kumtii Mwenyezi Mungu. Neema ya nyumba ya mwisho ni Pepo.» |