Quran with Swahili translation - Surah Ar-Ra‘d ayat 9 - الرَّعد - Page - Juz 13
﴿عَٰلِمُ ٱلۡغَيۡبِ وَٱلشَّهَٰدَةِ ٱلۡكَبِيرُ ٱلۡمُتَعَالِ ﴾
[الرَّعد: 9]
﴿عالم الغيب والشهادة الكبير المتعال﴾ [الرَّعد: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa yaliyofichika na macho na yanayoonekana, Aliye Mkubwa wa dhati, majina na sifa , Aliye juu ya viumbe Vyake vyote kwa dhati Yake, uweza Wake na kutendesha nguvu Kwake |