Quran with Swahili translation - Surah Ar-Ra‘d ayat 10 - الرَّعد - Page - Juz 13
﴿سَوَآءٞ مِّنكُم مَّنۡ أَسَرَّ ٱلۡقَوۡلَ وَمَن جَهَرَ بِهِۦ وَمَنۡ هُوَ مُسۡتَخۡفِۭ بِٱلَّيۡلِ وَسَارِبُۢ بِٱلنَّهَارِ ﴾
[الرَّعد: 10]
﴿سواء منكم من أسر القول ومن جهر به ومن هو مستخف بالليل﴾ [الرَّعد: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Analingana, katika ujuzi Wake Aliyetukuka, yule anayesirisha maneno, katika nyinyi, na anayedhihirisha. Na analingana Kwake yule anayefanya matendo yake kwa siri ndani ya giza la usiku na yule mwenye kuyafanya waziwazi kwenye mwangaza wa mchana |