×

Mwenyezi Mungu anajua mimba abebayo kila mwanamke, na kinacho punguka na kuzidi 13:8 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ar-Ra‘d ⮕ (13:8) ayat 8 in Swahili

13:8 Surah Ar-Ra‘d ayat 8 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ar-Ra‘d ayat 8 - الرَّعد - Page - Juz 13

﴿ٱللَّهُ يَعۡلَمُ مَا تَحۡمِلُ كُلُّ أُنثَىٰ وَمَا تَغِيضُ ٱلۡأَرۡحَامُ وَمَا تَزۡدَادُۚ وَكُلُّ شَيۡءٍ عِندَهُۥ بِمِقۡدَارٍ ﴾
[الرَّعد: 8]

Mwenyezi Mungu anajua mimba abebayo kila mwanamke, na kinacho punguka na kuzidi matumboni. Na kila kitu kwake ni kwa kipimo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: الله يعلم ما تحمل كل أنثى وما تغيض الأرحام وما تزداد وكل, باللغة السواحيلية

﴿الله يعلم ما تحمل كل أنثى وما تغيض الأرحام وما تزداد وكل﴾ [الرَّعد: 8]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mwenyezi Mungu Aliyetukuka Anakijua alichokibeba kila mwanamke ndani ya tumbo lake: ni cha kiume au ni cha kike, ni chema au ni kibaya. Na anakijua kile ambacho zao zinakipunguza kikazaliwa kimekufa au kabla ya kutimia myezi tisa au kikapita muda huo. Na kila kitu, chenye kuzidi au kupungua, kimekadiriwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa kipimo kisichopitisha kiasi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek