×

Hebu hukuwaona wale walio badilisha neema ya Mwenyezi Mungu kwa kufuru, na 14:28 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ibrahim ⮕ (14:28) ayat 28 in Swahili

14:28 Surah Ibrahim ayat 28 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 28 - إبراهِيم - Page - Juz 13

﴿۞ أَلَمۡ تَرَ إِلَى ٱلَّذِينَ بَدَّلُواْ نِعۡمَتَ ٱللَّهِ كُفۡرٗا وَأَحَلُّواْ قَوۡمَهُمۡ دَارَ ٱلۡبَوَارِ ﴾
[إبراهِيم: 28]

Hebu hukuwaona wale walio badilisha neema ya Mwenyezi Mungu kwa kufuru, na wakawafikisha watu wao kwenye nyumba ya maangamizo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ألم تر إلى الذين بدلوا نعمة الله كفرا وأحلوا قومهم دار البوار, باللغة السواحيلية

﴿ألم تر إلى الذين بدلوا نعمة الله كفرا وأحلوا قومهم دار البوار﴾ [إبراهِيم: 28]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kwani hutazami, ewe mwenye kuambiwa (makusudio ni jumla ya wenye kuambiwa), hali ya wakanushaji miongoni mwa makafiri wa Kikureshi waliochagua kumkanusha Mwenyewzi Mungu badala ya kumshukuru kwa neema ya amani na kutumilizwa Nabii Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukiye, kwao wao? Na kwa hakika waliwashukisha wafuasi wao nyumba ya maangamivu, waliposababisha kuwatoa wao kwenda Badr wakauawa, na mwisho wao ukawa ni nyumba maangamivu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek