Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 29 - إبراهِيم - Page - Juz 13
﴿جَهَنَّمَ يَصۡلَوۡنَهَاۖ وَبِئۡسَ ٱلۡقَرَارُ ﴾
[إبراهِيم: 29]
﴿جهنم يصلونها وبئس القرار﴾ [إبراهِيم: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr nayo ni Moto wa Jahanamu ambao watauingia na wataungulika na joto lake. Na mahali pabaya pa kukaa na kutulia ni hapo penye makao yao |