Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 32 - إبراهِيم - Page - Juz 13
﴿ٱللَّهُ ٱلَّذِي خَلَقَ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضَ وَأَنزَلَ مِنَ ٱلسَّمَآءِ مَآءٗ فَأَخۡرَجَ بِهِۦ مِنَ ٱلثَّمَرَٰتِ رِزۡقٗا لَّكُمۡۖ وَسَخَّرَ لَكُمُ ٱلۡفُلۡكَ لِتَجۡرِيَ فِي ٱلۡبَحۡرِ بِأَمۡرِهِۦۖ وَسَخَّرَ لَكُمُ ٱلۡأَنۡهَٰرَ ﴾
[إبراهِيم: 32]
﴿الله الذي خلق السموات والأرض وأنـزل من السماء ماء فأخرج به من﴾ [إبراهِيم: 32]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Aliyetukuka Ndiye Aliyeumba mbingu na ardhi, Akazifanya zipatikane baada ya kutokuwako, Akateremsha mvua kutoka mawinguni Akaihuisha Ardhi kwa hiyo baada ya kuwa imekufa, Akawatolea nyinyi kutoka ndani ya ardhi vyakula vyenu, Akawadhalilishia majahazi yapate kuenda baharini kwa amri Yake kwa ajili ya manufaa yenu, Akawadhalilishia mito ili munywe nyinyi na wanywe wanyama wenu na kwa ajili ya mimea yenu na manufaa yenu mengine |