Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 31 - إبراهِيم - Page - Juz 13
﴿قُل لِّعِبَادِيَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ يُقِيمُواْ ٱلصَّلَوٰةَ وَيُنفِقُواْ مِمَّا رَزَقۡنَٰهُمۡ سِرّٗا وَعَلَانِيَةٗ مِّن قَبۡلِ أَن يَأۡتِيَ يَوۡمٞ لَّا بَيۡعٞ فِيهِ وَلَا خِلَٰلٌ ﴾
[إبراهِيم: 31]
﴿قل لعبادي الذين آمنوا يقيموا الصلاة وينفقوا مما رزقناهم سرا وعلانية من﴾ [إبراهِيم: 31]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Waambie, ewe Mtume, waja wangu walioamini watekeleze Swala kwa namna yake inayotakikana na watoe sehemu ya mali tuliyowapa katika njia za heri, za lazima na za zinazopendekezwa, watoe kwa siri au waziwazi, kabla ya kuja Siku ya Kiyama ambayo haitafaa kitu fidia wala urafiki |