Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 38 - إبراهِيم - Page - Juz 13
﴿رَبَّنَآ إِنَّكَ تَعۡلَمُ مَا نُخۡفِي وَمَا نُعۡلِنُۗ وَمَا يَخۡفَىٰ عَلَى ٱللَّهِ مِن شَيۡءٖ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَلَا فِي ٱلسَّمَآءِ ﴾
[إبراهِيم: 38]
﴿ربنا إنك تعلم ما نخفي وما نعلن وما يخفى على الله من﴾ [إبراهِيم: 38]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Ewe Mola wetu! Hakika wewe unajua kila tunachokificha na tunachokionyesha. Na hakuna chochote chenye kupotea na kuwa nje ya ujuzi wa Mwenyezi Mungu miongoni mwa vilivyoko ardhini na mbinguini.» |