Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 51 - إبراهِيم - Page - Juz 13
﴿لِيَجۡزِيَ ٱللَّهُ كُلَّ نَفۡسٖ مَّا كَسَبَتۡۚ إِنَّ ٱللَّهَ سَرِيعُ ٱلۡحِسَابِ ﴾
[إبراهِيم: 51]
﴿ليجزي الله كل نفس ما كسبت إن الله سريع الحساب﴾ [إبراهِيم: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Atawafanyia hayo yakiwa ni malipo yao kwa madhambi waliyoyachuma duniani. Na Mwenyezi Mungu Atamlipa kila binadamu kwa alilolitenda, baya au zuri. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mpesi wa kuhesabu |