×

Hili ni Tangazo liwafikie watu, liwaonye, na wapate kujua kuwa hakika Yeye 14:52 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ibrahim ⮕ (14:52) ayat 52 in Swahili

14:52 Surah Ibrahim ayat 52 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 52 - إبراهِيم - Page - Juz 13

﴿هَٰذَا بَلَٰغٞ لِّلنَّاسِ وَلِيُنذَرُواْ بِهِۦ وَلِيَعۡلَمُوٓاْ أَنَّمَا هُوَ إِلَٰهٞ وَٰحِدٞ وَلِيَذَّكَّرَ أُوْلُواْ ٱلۡأَلۡبَٰبِ ﴾
[إبراهِيم: 52]

Hili ni Tangazo liwafikie watu, liwaonye, na wapate kujua kuwa hakika Yeye ni Mungu Mmoja, na wapate kukumbuka wenye akili

❮ Previous Next ❯

ترجمة: هذا بلاغ للناس ولينذروا به وليعلموا أنما هو إله واحد وليذكر أولو, باللغة السواحيلية

﴿هذا بلاغ للناس ولينذروا به وليعلموا أنما هو إله واحد وليذكر أولو﴾ [إبراهِيم: 52]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hii Qur’ani tuliyokuteremshia, ewe Mtume, ni maelezo na ni tangazo kwa watu, kwa kuwashauri na kuwatisha, na ili wawe na yakini kwamba Mwenyezi Mungu ni Mola Mmoja, wapate kumuabudu, Peke Yake, Asiye na Mshirika, na wapate kuwaidhika kwayo wenye akili timamu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek