Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 30 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿فَسَجَدَ ٱلۡمَلَٰٓئِكَةُ كُلُّهُمۡ أَجۡمَعُونَ ﴾
[الحِجر: 30]
﴿فسجد الملائكة كلهم أجمعون﴾ [الحِجر: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Malaika wote walisujudu kwa umoja wao, kama Alivyowaamrisha Mola Wao.. Hakuna yoyote kati yao aliyekataa |