Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 29 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿فَإِذَا سَوَّيۡتُهُۥ وَنَفَخۡتُ فِيهِ مِن رُّوحِي فَقَعُواْ لَهُۥ سَٰجِدِينَ ﴾
[الحِجر: 29]
﴿فإذا سويته ونفخت فيه من روحي فقعوا له ساجدين﴾ [الحِجر: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Basi nitakapomtengeneza na kulikamilisha umbo lake na nikapuliza roho ndani yake, mwangukieni hali ya kusujudu,» sijida ya maamkizi na heshima na si sijida ya ibada |