Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 33 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿قَالَ لَمۡ أَكُن لِّأَسۡجُدَ لِبَشَرٍ خَلَقۡتَهُۥ مِن صَلۡصَٰلٖ مِّنۡ حَمَإٖ مَّسۡنُونٖ ﴾
[الحِجر: 33]
﴿قال لم أكن لأسجد لبشر خلقته من صلصال من حمإ مسنون﴾ [الحِجر: 33]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Iblisi akasema akionyesha kiburi chake na uhasidi wake, «Hainasibiani na mimi nimsujudie mtu uliyempatisha kutokana na udongo mkavu, uliokuwa mweusi na uliogeuka.» |