Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 4 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿وَمَآ أَهۡلَكۡنَا مِن قَرۡيَةٍ إِلَّا وَلَهَا كِتَابٞ مَّعۡلُومٞ ﴾
[الحِجر: 4]
﴿وما أهلكنا من قرية إلا ولها كتاب معلوم﴾ [الحِجر: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wakiomba kuteremshiwa adhabu, kwa kukukanusha, ewe Mtume, basi sisi hatuuangamizi mji, isipokuwa uwapo wakati wa kuangamizwa umeshapangwa; hatutawaangamiza mpaka waufikie mfano wa wale waliowatangulia |