Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 67 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿وَجَآءَ أَهۡلُ ٱلۡمَدِينَةِ يَسۡتَبۡشِرُونَ ﴾
[الحِجر: 67]
﴿وجاء أهل المدينة يستبشرون﴾ [الحِجر: 67]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wakaja wakazi wa mji wa Lūṭ mpaka kwa Lūṭ pindi walipojua kwamba kwake kuna wageni, huku wana furaha na nderemo kwa wageni wake, ili wawachukue wafanye nao machafu |