Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 88 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿لَا تَمُدَّنَّ عَيۡنَيۡكَ إِلَىٰ مَا مَتَّعۡنَا بِهِۦٓ أَزۡوَٰجٗا مِّنۡهُمۡ وَلَا تَحۡزَنۡ عَلَيۡهِمۡ وَٱخۡفِضۡ جَنَاحَكَ لِلۡمُؤۡمِنِينَ ﴾
[الحِجر: 88]
﴿لا تمدن عينيك إلى ما متعنا به أزواجا منهم ولا تحزن عليهم﴾ [الحِجر: 88]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Usiziangalie kwa macho yako mawili zile starehe za duniani ambazo tuliwastarehesha nazo makafiri aina mbalimbali, na usisikitike juu ya ukafiri wao, na uwanyenyekee wenye kumuamini MwenyeziMungu na Mtume wake |