Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 1 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿أَتَىٰٓ أَمۡرُ ٱللَّهِ فَلَا تَسۡتَعۡجِلُوهُۚ سُبۡحَٰنَهُۥ وَتَعَٰلَىٰ عَمَّا يُشۡرِكُونَ ﴾
[النَّحل: 1]
﴿أتى أمر الله فلا تستعجلوه سبحانه وتعالى عما يشركون﴾ [النَّحل: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kumekaribia kusimama Kiyama na kutoka amri ya Mwenyezi Mungu ya kuwaadhibu nyinyi, enyi makafiri, basi msiifanyie haraka adhabu kwa njia ya kuicheza shere ahadi ya Mtume kwenu. Na Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na kutukuka, Ameepukana na ushirika na washirikina |