Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 120 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿إِنَّ إِبۡرَٰهِيمَ كَانَ أُمَّةٗ قَانِتٗا لِّلَّهِ حَنِيفٗا وَلَمۡ يَكُ مِنَ ٱلۡمُشۡرِكِينَ ﴾
[النَّحل: 120]
﴿إن إبراهيم كان أمة قانتا لله حنيفا ولم يك من المشركين﴾ [النَّحل: 120]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika Ibrāhīm alikuwa kiongozi katika mema, na alikuwa mtiifu mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, haendi kombo na Uislamu, ni mwenye kumpwekesha Mwenyezi Mungu, si mwenye kumshirikisha |