Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 121 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿شَاكِرٗا لِّأَنۡعُمِهِۚ ٱجۡتَبَىٰهُ وَهَدَىٰهُ إِلَىٰ صِرَٰطٖ مُّسۡتَقِيمٖ ﴾
[النَّحل: 121]
﴿شاكرا لأنعمه اجتباه وهداه إلى صراط مستقيم﴾ [النَّحل: 121]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na alikuwa ni mwenye kuzishukuru neema za Mwenyezi Mungu kwake. Mwenyezi Mungu Alimchagua kwa ujumbe Wake na Akamuongoza kwenye njia iliyolingana sawa, nayo ni Uislamu |