×

Walipanga vitimbi walio kuwa kabla yao, Mwenyezi Mungu akayasukua majengo yao kwenye 16:26 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:26) ayat 26 in Swahili

16:26 Surah An-Nahl ayat 26 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 26 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿قَدۡ مَكَرَ ٱلَّذِينَ مِن قَبۡلِهِمۡ فَأَتَى ٱللَّهُ بُنۡيَٰنَهُم مِّنَ ٱلۡقَوَاعِدِ فَخَرَّ عَلَيۡهِمُ ٱلسَّقۡفُ مِن فَوۡقِهِمۡ وَأَتَىٰهُمُ ٱلۡعَذَابُ مِنۡ حَيۡثُ لَا يَشۡعُرُونَ ﴾
[النَّحل: 26]

Walipanga vitimbi walio kuwa kabla yao, Mwenyezi Mungu akayasukua majengo yao kwenye misingi, dari zikawaporomokea juu yao, na adhabu ikawajia kutoka wasipo kujua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قد مكر الذين من قبلهم فأتى الله بنيانهم من القواعد فخر عليهم, باللغة السواحيلية

﴿قد مكر الذين من قبلهم فأتى الله بنيانهم من القواعد فخر عليهم﴾ [النَّحل: 26]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kabla ya washirikina hawa, makafiri waliwafanyia vitimbi Mitume wao, na kuifanyia vitimbi haki waliokuja nayo. Hapo amri ya Mwenyezi Mungu ililijia jengo lao kutoka kwenye asili yake na msingi wake, na sakafu ikawaangukia, na maangamivu yakawajia kwenye sehemu ambazo walijimakini kuwa ni za amani, kutoka mahali wasipodhania kuwa maangamivu yatawajia kutoka hapo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek