×

Ili kuwabainishia yale waliyo khitalifiana, na ili wajue walio kufuru kwamba wao 16:39 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:39) ayat 39 in Swahili

16:39 Surah An-Nahl ayat 39 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 39 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿لِيُبَيِّنَ لَهُمُ ٱلَّذِي يَخۡتَلِفُونَ فِيهِ وَلِيَعۡلَمَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓاْ أَنَّهُمۡ كَانُواْ كَٰذِبِينَ ﴾
[النَّحل: 39]

Ili kuwabainishia yale waliyo khitalifiana, na ili wajue walio kufuru kwamba wao walikuwa ni waongo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ليبين لهم الذي يختلفون فيه وليعلم الذين كفروا أنهم كانوا كاذبين, باللغة السواحيلية

﴿ليبين لهم الذي يختلفون فيه وليعلم الذين كفروا أنهم كانوا كاذبين﴾ [النَّحل: 39]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mwenyezi Mungu Atwafufua waja wote, ili awafunulie ukweli wa Ufufuzi ambao wametafautiana juu yake, na ili makafiri wenye kuukanusha wapate kujua kwamba wao wako kwenye ubatilifu na kwamba wao ni warongo pindi walipoapa kwamba hakuna kufufuliwa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek