×

Na wale walio hama kwa ajili ya Mwenyezi Mungu baada ya kudhulumiwa, 16:41 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:41) ayat 41 in Swahili

16:41 Surah An-Nahl ayat 41 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 41 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿وَٱلَّذِينَ هَاجَرُواْ فِي ٱللَّهِ مِنۢ بَعۡدِ مَا ظُلِمُواْ لَنُبَوِّئَنَّهُمۡ فِي ٱلدُّنۡيَا حَسَنَةٗۖ وَلَأَجۡرُ ٱلۡأٓخِرَةِ أَكۡبَرُۚ لَوۡ كَانُواْ يَعۡلَمُونَ ﴾
[النَّحل: 41]

Na wale walio hama kwa ajili ya Mwenyezi Mungu baada ya kudhulumiwa, bila ya shaka tutawaweka duniani kwa wema; na ujira wa Akhera ni mkubwa zaidi; laiti kuwa wanajua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: والذين هاجروا في الله من بعد ما ظلموا لنبوئنهم في الدنيا حسنة, باللغة السواحيلية

﴿والذين هاجروا في الله من بعد ما ظلموا لنبوئنهم في الدنيا حسنة﴾ [النَّحل: 41]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wale walioacha makao yao kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na wakahama baada ya matukio ya kudhulumiwa, tutawakalisha duniani makao mema. Na malipo ya Akhera ni makubwa zaidi, kwani malipo yao huko ni Pepo. Lau wale waliosalia nyuma wakaacha kugura wanayajuwa, ujuzi wa uhakika, yale yaliyoko kwa Mwenyezi Mungu ya malipo na thawabu kwa wale wanaogura katika njia Yake, hangalisalia nyuma yoyote katika wao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek