Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 42 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿ٱلَّذِينَ صَبَرُواْ وَعَلَىٰ رَبِّهِمۡ يَتَوَكَّلُونَ ﴾
[النَّحل: 42]
﴿الذين صبروا وعلى ربهم يتوكلون﴾ [النَّحل: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hawa wenye kugura katika njia ya Mwenyezi Mungu ndio waliovumilia juu ya amri ya Mwenyezi Mungu na makatazo Yake na juu ya makadirio Yake yenye uchungu, na kwa Mola wao Peke Yake wanategemea, ndipo wakastahiki cheo hiki kikubwa |