×

Wakizikataa neema tulizo wapa. Basi stareheni. Mtakuja jua 16:55 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:55) ayat 55 in Swahili

16:55 Surah An-Nahl ayat 55 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 55 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿لِيَكۡفُرُواْ بِمَآ ءَاتَيۡنَٰهُمۡۚ فَتَمَتَّعُواْ فَسَوۡفَ تَعۡلَمُونَ ﴾
[النَّحل: 55]

Wakizikataa neema tulizo wapa. Basi stareheni. Mtakuja jua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ليكفروا بما آتيناهم فتمتعوا فسوف تعلمون, باللغة السواحيلية

﴿ليكفروا بما آتيناهم فتمتعوا فسوف تعلمون﴾ [النَّحل: 55]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ili wapate kuzikanusha neema zetu kwao, na miongoni mwazo ni kuondolewa matatizo. Basi jistarehesheni na ulimwengu wenu, nao mwisho wake ni kutoweka, hapo mtajua mwisho wa ukanushaji wenu na uasi wenu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek