×

Na anapo kuondosheeni madhara mara kundi moja miongoni mwenu linamshirikisha Mola wao 16:54 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:54) ayat 54 in Swahili

16:54 Surah An-Nahl ayat 54 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 54 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿ثُمَّ إِذَا كَشَفَ ٱلضُّرَّ عَنكُمۡ إِذَا فَرِيقٞ مِّنكُم بِرَبِّهِمۡ يُشۡرِكُونَ ﴾
[النَّحل: 54]

Na anapo kuondosheeni madhara mara kundi moja miongoni mwenu linamshirikisha Mola wao Mlezi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ثم إذا كشف الضر عنكم إذا فريق منكم بربهم يشركون, باللغة السواحيلية

﴿ثم إذا كشف الضر عنكم إذا فريق منكم بربهم يشركون﴾ [النَّحل: 54]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kisha Anapowaondolea matatizo na magonjwa, kitahamaki linatoka kundi la watu miongoni mwenu wakawa wanawafanya asiyekuwa Yeye kuwa ni washirika pamoja na Yeye na wategemewa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek